MENEJA WA TOTTENHAM ATIMULIWA
Aliyekuwa Meneja wa Tottenham Andre Villas - Boas Leo klabu ya Tottenham imemtimua Meneja wake Villas-Boas kufuatia kipigo cha goli 5 ...
![]() |
Aliyekuwa Meneja wa Tottenham Andre Villas - Boas |
Leo klabu ya Tottenham imemtimua Meneja wake Villas-Boas kufuatia kipigo cha goli 5 -0 kutoka kwa Liverpool jana.
Villas-Boas, 36, alishika nafasi hiyo ndani ya Tottenham tangu July 2012, taarifa hiyo inasema kuwa maamuzi hayo yamefanyika baada ya makubaliano ya pande zote kwa ajili ya mustakabali mzuri wa timu hiyo.