AJALI YASHUSISHA MAGARI SITA KWA WAKATI MMOJA KITUO CHA MABASI UBUNGO NA KUSABABISHA FOLENI KUBWA

  Mkusanyiko wa watu wakiwa eneo la ajali Ubungo jijini Dar es Salaam Dar es Salaam. Ajali mbaya imetokea ubungo lango kuu la k...

 Mkusanyiko wa watu wakiwa eneo la ajali Ubungo jijini Dar es Salaam

Dar es Salaam.
Ajali mbaya imetokea ubungo lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo mikoani. Ajali hiyo imetokea baada ya breki za lori kushindwwa kufanya kazi na kusababisha kuyagonga magari mengine matano, na kusababisha foleni kubwa. Hadi sasa haijajulikana idadi ya watu waliopoteza maisha.

Related

OTHER NEWS 5177667660565363012

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item