WALIMU WANAHITAJIKA: MICHAEL MAUSA MEMORIAL SCHOOL(ENGLISH MEDIUM) NURSERY & PRIMARY

NAFASI ZA KAZI Tunahitaji walimu wafuatao:kingereza(English),Hesabu(Mathematics),Science(sayansi) Vocational skills & PDS (Stadi...

NAFASI ZA KAZI
Tunahitaji walimu wafuatao:kingereza(English),Hesabu(Mathematics),Science(sayansi) Vocational skills & PDS (Stadi za kazi) Kiswahili wenye sifa zifuatazo
1.Awe anaweza kuongea kiingereza kwa ufasaha.
2.Awe na uzoefu wa ufundishaji usiopungua miaka mitatu
3.Awe raia wa Tanzania.
4.Awe na stashahada(Diploma) au shahada(Degree) ya ualimu.
5.Mchapakazi,Mbunifu na anayeweza kujituma bila kufuatiliwa
Maombi yaambatanishwe na CV pamoja na vivuli vya vyeti,kwa wale walio nje ya Dar es salaam watume kwa njia ya barua pepe(Email).Kiwango cha mshahara kuanzia Tsh 400,000/=Kutegemea uzoefu na wale waliosoma seminari watapewa kipaumbele.
MICHAEL MAUSA MEMORIAL SCHOOL
Box 75598
Dar es salaam
Physical Address:Kinyerezi

Email:mutemi.daudi@yahoo.com
Telphone:0754780178/0713276402/0719016229/0717200292

Watakaofanikiwa wataitwa kwenye usahili tarehe 09/05/2014(Utahitajika kuja na vyeti halisi)

Related

KAZI 8355456251755872587

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item