KIFAHAMU KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA NIGERIA KITAKACHO SHIRIKI FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA 2014

 Kocha wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Nigeria, Steohen Keshi ametaja kikosi cha wachezaji 23 kitakochoshiriki fainali za kombe la...

 Kocha wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Nigeria, Steohen Keshi ametaja kikosi cha wachezaji 23 kitakochoshiriki fainali za kombe la dunia ( Fifa World Cup 2014) zinazotarajiwa kuanza juni 12 nchini Brazil.

Nigeria inashiriki michuano hii kwa mara ya 55 tangu kuanza kwake, huku ikiendelea kupangwa katika kundi lilelile na nchi za Argentina, Iran na Bosnia.
 
 Kikosi hicho kimesheni walinda mlango 3, walinzi 8, viungo 5 na washambuliaji 7. Tazama majina ya wanaounda kikosi hicho na vilabu wanavyotokea hapa chini:

WALINDA MLANGO:
Vincent Enyeama (Lille/FRA),
Chigozie Agbim (Gombe United),
Austin Ejide (/ISR)

WALINZI:
Elderson Echiejile (Monaco/FRA),
Efe Ambrose (Celtic FC/SCO),
Godfrey Oboabona (Rizespor/TUR)
Azubuike Egwuekwe (Warri Wolves),
Kenneth Omeruo (Middlesbrough/ENG),
Juwon Oshaniwa (Ashdod FC/ISR),
Joseph Yobo (Norwich City/ENG)

VIUNGO:
Mikel Obi (Chelsea/ENG),
Ogenyi Onazi, (Lazio/ITA)
Ejike Uzoenyi (Enugu Rangers),
Gabriel Reuben (Beveren/BEL),
Nosa Igiebor (Real Betis/SPA),
Sunday Mba (CA Bastia/FRA),
Michael Uchebo (Cercle Brugge/BEL)

WASHAMBULIAJI:
Ahmed Musa (CSKA Moscow/RUS),
Shola Ameobi (Newcastle United/ENG)
Victor Moses (Chelsea/ENG),
Emmanuel Emenike (Fenerbahce/TUR),
Osaze Odemwingie, (Stoke city/ENG)
Nnamdi Oduamadi (Varese/ITA)

Related

TUJUZANE 2365843682647777848

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item