PICHA: VURUGU ZILIZOZUKA MKOANI MWANZA KATI YA WAMACHINGA NA POLISI ASUBUHI YA LEO

 Vitu vimeharibiwa  Askari wakiondoa mawe yaliyowekwa barabarani Polisi wametumia mabomu kutawanya wafanyabiashara leo asub...


 Vitu vimeharibiwa
 Askari wakiondoa mawe yaliyowekwa barabarani


Polisi wametumia mabomu kutawanya wafanyabiashara leo asubuhi kwa kukaidi amri ya kuhama soko la Makoroboi mjini Mwanza. Kufuatia vurugu hizo watu wamehaha na kusababisha biashara kusimama.


Image Source: Jamii Forum

Related

MBUNGE AUAWA JAMHURI YA AFRIKA YA KATI

Mbunge mmoja wa Jamuhuri ya Afrika ya Kati, ambaye alikuwa katika mstari wa mbele kupinga mauaji ya Waislamu nchini humo, ameuawa kwa kupigwa risasi katika mji mkuu wa nchi hiyo Bangui. Jean-Em...

RAIS KIKWETE AHUTUBUA MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake kwenye ufunguzi wa mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam. ...

VURUGU ZA WAKULIMA MOROGORO, MABOMU YA MACHOZI YATUMIKA KUWATAWANYA

Wananchi wa Kijiji cha Mangae wakiwa wamefunga Barabara wakiwa wameshika mawe na Silaha za Jadi wakikataa kabisa kufungua barabara hiyo wakitaka Mkuu wa Mkoa kuja Kuoanana Nao. ...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904754
item