MCHEKESHAJI MAARUUFU WA TV AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji/muigizaji maarufu wa kipindi cha Mashtaka kinachorushwa na Citizen TV, Nancy ‘Jastorina’ Nyambura amefariki Jumamosi (July ...


Mchekeshaji/muigizaji maarufu wa kipindi cha Mashtaka kinachorushwa na Citizen TV, Nancy ‘Jastorina’ Nyambura amefariki Jumamosi (July 26).

Kwa mujibu wa Citizen TV, Jastorina alikuwa anaumwa muda mrefu ugonjwa wa ‘Meningitis’ na alikuwa akipata matibabu katika hospitali ya Kenyatta nchini humo.

Jastorina ambaye mwaka huu alishinda tuzo ya Kalasha kama msanii bora wa Ucheshi (Comedy), ameacha watoto wawili wa kiume.
Apumzike kwa Amani. Amina!

Related

OTHER NEWS 8384655668327998331

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item