RAIS WA ARGENTINA CRISTINA FERNANDEZ DE KIRCHNER AMPA MAPOKEZI YA HESHIMA MCHEZAJI LIONEL MESSI

  Wachezaji Messi akiwa ameshikilia medali yake ya dhahabu baada ya kuibuka mchezaji bora katika mashindano ya kombe la dunia 2014 yal...

 Wachezaji Messi akiwa ameshikilia medali yake ya dhahabu baada ya kuibuka mchezaji bora katika mashindano ya kombe la dunia 2014 yaliyomalizika jana nchini Brazili na kuifanya timu ya Ujerumani kuibuka washindi.
 Rais wa Argentina Cristina Fernandez de Kirchner (kulia) akimsalimia mchezaji Lionel Messi mara baada ya kuwapokea  baada ya kurudi nchini kwao.

 Viongozi wa nchi ya Argentina wakifurahia jambo mapema mara baada ya kurudi nchini kwao.
Rais wa Argentina akimpa pongenzi meneja wa timu yao Alejandro Sabella.Pembeni ni mchezaji Lionel Messi.

Mchezaji wa Argentina Lionel Messi  Julai 13, 2014 amepokelewa nchini kwao na Rais Cristina Fernandez de Kirchner mara baada ya kushinda zawadi ya Mpira wa Dhahabu iliyotokana na kuwa mchezaji bowa katika mashindano ya Kombe la Dunia yaliyomalizika nchini Brazili Juali 12, 2014. Mshabiki wengi wa soka wamempongeza sana mchezaji huyo kwa jinsi alivyocheza japo timu yake haikuweza kuwashinda Wajerumani

Related

TUJUZANE 5990331319796043308

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item