AUAWA KWA KUPIGWA RISASI MLIMANI CITY!

Mtu mmoja al i yetajwa kwa jina la Adson Cheyo (Pichan) amepigwa risasi na kufar i ki maeneo ya Mlimani City jijini Dar es salaam hapo ...

Mtu mmoja aliyetajwa kwa jina la Adson Cheyo (Pichan) amepigwa risasi na kufariki maeneo ya Mlimani City jijini Dar es salaam hapo jana usiku. Inaaminika amepigwa na majambazi waliokuwa wamemuona na bahasha yenye kiasi kikubwa cha pesa (Milioni 18).

Related

UFAHAMU UGONJWA WA UTI NA ATHARI ZAKE KWA BINADAMU

Maambukizi Katika Njia ya Mkojo (UTI) ni moja kati ya magonjwa ambayo hayapewi msisitizo wa kutosha katika jamii licha ya kuwa wengi huathirika kwa ugonjwa huu bila kujua chanzo, tiba na kinga ya...

ASKOFU WA KATOLIKI AELEZA NJIA MPYA KUZUIA KATIBA

Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi. MAKAMU wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi, amesema maoni yaliyotolewa na Jukw...

USAJILI MAOMBI YA VITAMBULISHO VYA TAIFA WAANZA MKOANI MOROGORO

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA) Imeanza rasmi zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu Mkoa wa Morogoro pamoja na uchukuaji alama za vidole, picha na saini ya kielektroniki kwa wananchi wa W...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904762
item