HUYU HAPA NDIYE POLISI FEKI WA USALAMA BARABARANI ALIYEKAMATWA

  Kamishna Kova (katikati) akionesha kidole kwa polisi feki aliyekamatwa   Askari  feki aliyekamatwa aitwaye Robson Seif Mwakyusa (3...

 Kamishna Kova (katikati) akionesha kidole kwa polisi feki aliyekamatwa
 Askari  feki aliyekamatwa aitwaye Robson Seif Mwakyusa (30).
 Kova akionyesha baadhi ya sare za jeshi la polisi alizokamatwa nazo polisi huyo feki
Waandishi wa habari  wakimsikiliza kamanda kova


JESHI la Polisi Kanda ya Dar es Salaam linamshikilia na kumhoji mtu mmoja anayeitwa Robson Seif Mwakyusa (30) mkazi wa Kijitonyama Jijini Dar, kwa tuhuma za kujifanya ofisa wa polisi kikosi cha usalama barabarani  huku akifanya ukaguzi wa makosa ya usalama barabarani
Mtuhumiwa huyu alikamatwa jumamosi  iliyopita huko Kata ya Chamazi, Mbagala-Majimatitu Mkoa wa Kipolisi Temeke akiwa amevalia sare za polisi na cheo cha stesheni sajenti na akiwa na leseni mbalinbali za magari, ‘radio-call’, stakabadhi, na vitu vingine

Related

NAIBU WAZIRI WA MAJI ATEMBELEA MIRADI YA MAJI MIKOA YA PWANI NA DAR ES SALAAM

 Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akiambatana na wakandarasi wa kampuni ya WABAG pamoja na Meneja Mradi DAWASA, Inj. Romanus Mwang’ingo (mwisho kulia) wakikagua mradi wa maji wa Ruvu ...

MBUNGE GODFREY MGIMWA AKABIDHI MSAADA WA BATI KIJIJI CHA USENGERENDETI NA MAHANZI

 Katibu  wa mbunge  wa jimbo la Kalenga  Bw  Martine Simangwa  kushoto akikabidhi msaada wa bati  100 kwa  uongozi wa kijiji cha Usengerendeti  kwa &...

TAZAMA PICHA ZA MAJERUHI WA BOMU LILILOLIPUKA HUKO ARUSHA

 Majeruhi wa mlipuko wa Bomu uliotokea katika mgahawa wa Traditional Indian Cusine aliyejulikana kwa jina la Deepak Gupta (25), akiwa amelazwa katika hospitali ya Selian, katika chumba cha...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904821
item