NAFASI ZA KAZI 102 KUTOKA WIZARA YA MAJI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS  SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA  UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/H/03        ...


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
 SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA


Kumb. Na EA.7/96/01/H/03                                                       25 Septemba, 2014

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki,  pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma). Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi ya Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 102 za kazi kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji,


BOFYA HAPA KUONA TANGAZO HILO

Related

KAZI 9031749940843617522

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item