MBOWE, LEMA WAJISALIMISHA POLISI

Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema hivi sasa bado wanahojiwa na Polisi baada ya Kujisalimis...

Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema hivi sasa bado wanahojiwa na Polisi baada ya Kujisalimisha kutokana na Maagizo ya Polisi ya kutaka kuwahoji kuhusiana na Tukio la Mlipuko wa Bomu Arusha. Baada ya Mohojiano hayo wanatarajia kushiriki kuaga mwili wa Marehemu Judith Moshi aliyekuwa Mwenyekiti wa Bawacha Arusha, anayeagwa leo na kutarajia kuzikwa mjini Arusha leo.

SOURCE: Chadema Social Media

Related

OTHER NEWS 8082661165697076258

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item