UCHAGUZI WA MADIWANI KATA ZA ARUSHA WAAHIRISHWA

KUFUATIA MLIPUKO ULIOTOKEA JANA HUKO ARUSHA, UCHAGUZI WA MADIWANI ULIOTARAJIWA KUFANYIKA LEO UMEAHIRISHWA KWA KATA ZOTE 4 ZA ARUSHA UMEAHIRI...



KUFUATIA MLIPUKO ULIOTOKEA JANA HUKO ARUSHA, UCHAGUZI WA MADIWANI ULIOTARAJIWA KUFANYIKA LEO UMEAHIRISHWA KWA KATA ZOTE 4 ZA ARUSHA UMEAHIRISHWA HADI TAREHE 30/06/2013.

Tume ya taifa ya Uchaguzi imesimamisha kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa udiwani ktk kata nne jijini Arusha. Akizungumza kwa njia ya simu na Radio TBC FM,kutoka Zanzibari mwenyekiti huyo wa tume ya uchaguzi alisema kua wameamua kusimamisha uchaguzi huo ili kuwapa nafasi vyombo vya usalama kuchunguza swala hilo.

Alisema kua sheria inawapa mamlaka kufanya hivyo pale wanapogundua kuwa hakutakua na uhuru wa mpiga kura kwenda kupiga kura. Alisema haiwezekani uchaguzi ufanyike ktk hali kama hiyo huku kukiwa na wasiwasi.



SOURCE: TBC

Related

OTHER NEWS 333659057475497217

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

item