CHADEMA YASHINDA KATA ZOTE NNE ARUSHA

CHADEMA wameibuka kidedea kwa kuweza kushinda katika uchaguzi  mdogo wa madiwani katika kata zote nne. Awali uchaguzi huo uliingia do...

CHADEMA wameibuka kidedea kwa kuweza kushinda katika uchaguzi  mdogo wa madiwani katika kata zote nne. Awali uchaguzi huo uliingia dosari baada ya shambulio la bomu lililorushwa katika uwanja wa soweto siku moja kabla ya uchaguzi na hatimae uchaguzi huo kuairishwa na kufanyika  jumapili tarehe 14 July 2013.

MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI 

KATA YA THEMI
CHADEMA 678      
CCM 326
CUF 313
KATA YA KIMANDOLU
CHADEMA 2665
CCM 1169
KATA YA KALOLENI
CHADEMA 1019
CCM 389
CUF 169
KATA YA ELERAI
CHADEMA 1715
CCM 1239
CUF 213

Related

NEWS UPDATE!! MKUU WA MKOA WA MARA AFARIKI DUNIA

 Marehemu John Tuppa Mkuu wa Mkoa wa Mara Mh. John Tuppa amefariki dunia muda mfupi uliopita baada ya kufikishwa hospitali asubuhi ya leo baada ya kuanguka ofisini kwa DC huko Tarime. Mkuu...

MKUU WA MKOA WA MARA AANGUKA OFISINI

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema, Mkuu wa Mkoa wa Mara Mh. John Tuppa ameanguka na kutokwa povu akiwa ofisi ya DC Tarime, John Henjewele asubuhi hii. Mkuu huyo wa Mkoa amekimbizwa ofisini k...

MICHELLE OBAMA VISITS CHINA

 Chinese President Xi Jinping and his wife, Peng Liyuan, greet U.S. first lady Michelle Obama with her daughters, Malia, right, and Sasha, at the Diaoyutai State guest house in Beijing. ...


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904754
item