Wachezaji wa manchester City wakionyesha jezi zo mpya Timu ya Manchester City imezindua muonekano wake mpya wenye nembo ya Nike leo, u...
https://gabriellabridalsolution.blogspot.com/2013/07/manchester-city-wazindua-muonekano-wao.html
 |
Wachezaji wa manchester City wakionyesha jezi zo mpya |
Timu ya Manchester City imezindua muonekano wake mpya wenye nembo ya Nike leo, uzinduzi umefanyika wakati timu hiyo ikiwa mjini Hong-Kong kwenye ziara.
Mashati yao yamenakshiwa na nembo ya Ardwick AFC iliyokuwa ikitumika miaka ya 1890-91, Ardwick ni jina la klabu kabla ya kubadilishwa jina na kuwa Manchester City mwaka 1894.
Huo ndio muonekano wa Man City kwa sasa.
 |
MAN CITY |