UGANDA CRENES IMEWASILI JANA TAYARI KWA MPAMBANO NA TAIFA STARS
Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) imewasili Dar es Salaam jana tayari kwa mechi ya kwanza ya mchujo kusaka tiketi ya Fainali za Af...
mechi ya kwanza ya mchujo kusaka tiketi ya Fainali za Afrika kwa Wachezaji
wa Ligi ya Ndani (CHAN) kati yake na Tanzania (Taifa Stars) itakayochezwa
Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) saa 5.30 asubuhi kwa ndege ya Air
Uganda, na imefikia hoteli ya Sapphire.
Uwanja wa Karume, wakati le saa 9 alasiri itafanya mazoezi Uwanja wa
Taifa, kabla ya kuipisha Taifa Stars itakayoanza mazoezi saa 10 kamili
jioni.
Kilimanjaro Premium Lager, leo kwa mujibu wa program yake haitakuwa na
mazoezi.
Muwonge Hamza. Mabeki ni Guma Dennis, Kasaaga Richard, Kawooya Fahad,
Kisalita Ayub, Magombe Hakim, Malinga Richard, Mukisa Yusuf, Savio Kabugo
na Wadada Nicholas.
Said, Majwega Brian, Mpande Joseph, Muganga Ronald, Ntege Ivan, Owen
Kasule, wakati washambuliaji ni Edema Patrick, Herman Wasswa na Tonny Odur.
na mkutano na waandishi wa habari. Mkutano huo utafanyika leo (Julai 12
mwaka huu) saa 4 asubuhi kwenye hoteli ya Tansoma.
Cranes uliokuwa ufanyike saa 5 asubuhi ofisi za TFF nao umehamishiwa hoteli
ya Tansoma. Mkutano huo pia utahusisha manahodha wa timu zote mbili.
(TFF) utakaofanyika Jumamosi (Julai 13 mwaka huu) wanawasili jijini Dar es
Salaam leo (Julai 12 mwaka huu).
TFF, Leodegar Tenga na utafanyika ukumbi wa NSSF Waterfront kuanzia saa 3
kamili asubuhi. Wajumbe wote wa mkutano huo watafikia hoteli ya Travertine.
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) na Chama cha Mpira wa
Miguu Zanzibar (ZFA).
FC ya Shinyanga na Kimondo SC ya Mbeya iliyokuwa ichezwe Jumamosi (Julai 13
mwaka huu) imesogezwa mbele kwa siku moja.
Kambarage mjini Shinyanga. Kimondo ilishinda bao 1-0 mechi ya kwanza
iliyochezwa Julai 6 mwaka huu Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya.
Salaam na Polisi Jamii ya Mara, na itafanyika kwenye Uwanja wa Azam ulioko
Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Mwamuzi wa mechi hiyo ni Hans
Mabena kutoka Tanga.