WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO YA UFUNDI 2013 - WASICHANA NA WAVULANA

NOTE *********HAYA NI MATOKEO YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE WA MWAKA 2012 WALIOJIUNGA KIDATO CHA TANO MWAKA 2013. KWA WANAFUNZI WALIO...

NOTE
*********HAYA NI MATOKEO YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE WA MWAKA 2012 WALIOJIUNGA KIDATO CHA TANO MWAKA 2013. KWA WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 KUONA SHULE ULIYOPANGIWA  TAFADHARI BOFYA LINK HII*********



 WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO UFUNDI NA CHUO CHA 'MANEGEMENT' NA MAENDELEO YA MAJI
Wanafunzi Kuripoti katika shule walizopangwa

 Muhula wa kwanza kwa wanafunzi wa Kidato cha Tano kuanzia mwaka huu 2013 itaanza mwezi Julai. Wanafunzi wamepangwa katika shule zenye miundombinu na walimu kwa masomo husika. Aidha, kama baadae upungufu utajitokeza, wakuu wa shule wameelekezwa kufanya taratibu za kuazima walimu wa muda na kutoa taarifa kwa uongozi wa halmashauri husika kuhusu upungufu wa walimu uliopo. Kwa nafasi hii, ninaagiza wanafunzi wote kuripoti katika shule walizopangwa tarehe 29 Julai, 2013. Kama kutakuwa na sababu yoyote ya msingi ya kuhamia shule nyingine, uhamisho wa kawaida utafanywa baada ya kuripoti shuleni kupitia kwa mkuu wa shule husika, Mkurugenzi wa Halmashuri/Manispaa na Katibu Tawala wa Mkoa. (Wizara haitabadilisha shule walizopangwa wanafunzi)

Wanaporipoti wanatakiwa kuwa na:
   Original Result slip na Living Cerificate

KUONA ORODHA YA WASICHANA BOFYA HAPA NA WAVULANA BOFYA HAPA

ANGALIZO: IKIGOMA ITAKUPA HII TAARIFA "Database Error: Unable to connect to the database:Could not connect to MySQL" REFRESH PAGE HADI IFUNGUE.


Related

DC MPANDA-KATAVI AAGIZA WANAFUNZI WALIOKATISHA MASOMO KURUDI SHULE

  Na Kibada Kibada–Mpanda  Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Paza Mwamlima amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mpanda na Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda pamoja na Kamati ya ...

BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU (HESLB) YATOA KAULI KUHUSIANA NA KUCHELEWESHWA KWA POSHO YA MAFUNZO KWA VITENDO

Bodi ya mkopo ya Elimu ya Juu nchini Tanzania (HESLB) inashughulikia tatizo la wanafunzi wanaokwenda kwenye mafunzo kwa njia ya vitendo ikiwa na baada ya kulalamikiwa na jumuiya ya wanafunzi wa...

MAJINA YA VIJANA KIDATO CHA SITA 2014 MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA PILI NA VIKOSI WALIVYOPANGIWA (JKT)

VIJANA WA KIDATO CHA SITA 2014 MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA PILI(Bofya kwenye vikosi hapo chini kuangalia majina) BULOMBORA - KIGOMA RWAMKOMA - MUSOMA MSANGE - TABORA KANEMBWA - KIGOMA RU...


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904854
item