AJALI MBIO ZA MWENGE DODOMA

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema, watu 3 wamejeruhiwa baada ya magari yaliyokuwa katika msafara wa mbio za mwenge kupata ajaliwilay...

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema, watu 3 wamejeruhiwa baada ya magari yaliyokuwa katika msafara wa mbio za mwenge kupata ajaliwilayani Chamwino mkoani Dodoma leo.Hakuna vifo vilivyoripotiwa hadi sasa, habari kamili zitawajia baadae.

Related

OTHER NEWS 7803970970140310564

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item