BAADHI YA PICHA ZA MAZISHI YA MAREHEMU NEMELA PHILLIP MANGULA

Mwakilishi wa Mheshimiwa Rais katika mazishi ya Nemela  Mangula  Mh. Anne Makinda akiwa ameongozana na Mh. Wassira na viongozi wengine ...

Mwakilishi wa Mheshimiwa Rais katika mazishi ya Nemela  Mangula  Mh. Anne Makinda akiwa ameongozana na Mh. Wassira na viongozi wengine wakipitia wosifu wa marehemu pamoja na ratiba za mazishi.

Wana familia na waombolezaji wakiwa katika hali ya huzuni.

Wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia wakiwa wamebeba mwili wa Marehemu Nemela Mangula,mkoani Njombe.

  Jeneza la Neema Philip Mangula

Viongozi wa Chama kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Vijana Taifa Mhe. Sadifa , Mwenyekiti wa Wazazi Taifa Ndg. Bulembo, Mjumbe wa NEC -Temeke Ndg. Magesa na Katibu wa uchumi wa Vijana wakijadiliana mambo muhimu ya Kitaifa leo Njombe wakati wa mazishi ya Nemela Phillip Mangula 

Hapa ndipo ulipolala mwili wa Nemela PhilLip Mangula

Baadhi ya viongozi wa Chama , Serikali na Bunge walishiriki mazishi ya Nemela Phillip Mangula Jana Njombe

Related

OTHER NEWS 6522707753737281791

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item