UTALII WA NDANI: BAADA YA KUHAMASISHWA NA VIJANA, NAMI NIKAENDA KUJIONEA YA BAGAMOYO

KITUO CHA KWANZA KILIKUA KARAVAN SERAI, JAMAA YETU LAZIMA AKUKARIBISHE LAKINI NI MGUMU SANA KUTOA TABASAMU HATA UMCHEKESHE VIPI. PICHA YA KU...

KITUO CHA KWANZA KILIKUA KARAVAN SERAI, JAMAA YETU LAZIMA AKUKARIBISHE LAKINI NI MGUMU SANA KUTOA TABASAMU HATA UMCHEKESHE VIPI.

PICHA YA KUMBUKUMBU MUHIMU
 
NAKAENDA KUTEMBELEA KIJIJI CHA KAOLE



KABURI LA SHARIFA, WENGI HUAMINI WAKIOMBA KITU HAPA NA KUWEKA SADAKA ZAO BASI HUFANIKIWA HIVYO NI SWALA LA IMANI YA MTU BINAFSI

KABURI LA WAPENDANAO (MUME NA MKE WALIZIKWA PAMOJA HAPA BAADA YA KUKUTWA UFUKWENI MWA BAHARI WAKIWA WAMEKUMBATIANA KATIKA HALI YA UMAUTI )
 

 
KILA MTU AKIJARIBU KUPATA PICHA YA KUMBUKUMBU KWENYE HAYO MAKABURI


NIKAUSHUHUDIA ULEEE MBUYU WENYE MIAKA ZAIDI YA 800, KWA MBALI UTAONA WADADA WENGINE WAKIPATA PICHA YA MTI HUO NI WANACHUO WA KIU (KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY)






BAADA YA HAPO TUKAELELEA ZETU NGOME KONGWE


SEHEMU YA KUTOKEA KWA NYUMA

NGOME YA MJERUMANI IONEKANAVYO KWA SASA

VYUMBA VYA JUU NA CHINI

NGAZI ZA MJENGO

MUONEKANO WA CHINI

MOJA YA ROOM ZILIZOTUMIKA


WALIPO NYONGEA WAZEE WETU

PICHA YA KUMBUKUMBU


NIKAFIKA MSALABANI NA KUPATA PICHA YA KUMBUKUMBU

KANISANI

NIKAMALIZIA NA KUINGIA MAKUMBUSHO, NA HII NDIO KANDAMBILI WALIZOVAA ENZI HIZO




KUNA VITU VINGI VIZURI VYA KUJIFUNZA BAGAMOYO SIWEZI MALIZA VYOTE HAPA, KUFAIDI ZAIDI PITIA BAGAMOYO.



Related

OTHER NEWS 3556393177929965495

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item