KATIBU MKUU MPYA WA UVCCM SIXTUS MAPUNDA AKABIDHIWA MADARAKA RASMI

KATIBU Mkuu mstaafu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Martine Shigela (kushoto) akimkabidhi Katibu Mkuu mpya wa UVCCM, Sixtus Mapunda, ...

KATIBU Mkuu mstaafu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Martine Shigela (kushoto) akimkabidhi Katibu Mkuu mpya wa UVCCM, Sixtus Mapunda, faili wakati wa makabidhiano ya Ofisi, waliyofanya jana, Makao Makuu ya UVCCM, mjini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni, Naibu Katibu Mkuu UVCCM (Bara), Mfaume Ally Kizigo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Seki Kasuga..

Sixtus Mapunda akipitia nyaraka kwenye faili alilokabidhiwa na Shigela wakati wa makabidhiano ya ofisi jana. Kushoto ni Kizigo

Makamu Mwenyekiti UVCCM, Taifa, Mboni Mhita (kushoto) akisalimiana na Shigela baada ya kuwasili kwenye mapokezi hayo

Mboni Mhita akimsalimia pia, Mkumbe wa Kamati Kuu ya Utekelezaji UVCCM Taufa,Seki Kasuga wakati wa makabidhiano hayo
SOURCE: CCM Social media

Related

OTHER NEWS 5722050301152928880

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item