MWIGULU NCHEMBA ALIPOZINDUA TAWI LA CCM CALIFORNIA MAREKANI
Ndg. Mwigulu Nchemba akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa tawi la CCM Oakland California kulikofanyika Jumamosi Sept 14, 2013 na kuh...
Ndg. Mwigulu Nchemba katika picha ya pamoja na wanachama wa CCM California mara baada ya kukata utepe na kufungua tawi rasmi. |
Baadhi ya wanachama wa Tawi California wakiteta jambo huku vicheko vikitawala. |
Mwanachama mpya akipokea kadi yake |
Baadhi ya wanachama wakiwa na furaha baada ya Mhe. Mwigulu Nchemba kufungua tawi |
Juu na chini ni Wananchama wa tawi wakipata maakuli |
Picha zote kwa hisani ya CCM Social Media