GHASIA MBEYA, BARABARA YA MWANJELWA YAFUNGWA
Polisi wakiwa katika ulinzi Maduka funga kule.... Baadhi ya watu wakiwa wanakimbia baada ya mabomu ya machozi kuanza kurushwa...
![]() |
Polisi wakiwa katika ulinzi |
![]() |
Maduka funga kule.... |
![]() |
Baadhi ya watu wakiwa wanakimbia baada ya mabomu ya machozi kuanza kurushwa kuepusha vurugu |
![]() |
Mawe yakiwa yamepangwa kuzuia magari yasiende kokote |
![]() |
Maduka yote yakiwa yamefungwa eneo la mwanjelwa kupinga ununuzi wa mashine hizo za TRA |
![]() |
Vijana hawa wakiwa wana nawa uso baada ya Bomu la machozi kuwapitia |
![]() |
Vijana wamechoma matairi barabarani |
Picture thanx to Mbeya yetu blog.