HIZI NDIZO SILAHA ZA JADI NA CD ZINAZODAIWA KUELEKEZA NAMNA YA KUFANYA MAFUNZO YA KIJESHI KWA MAKUNDI YA AL-SHABAAB NA AL-QAEDA ZILIZOKAMATWA MKOANI MTWARA NA JESHI LA POLISI

CD zilizokamatwa na askari wa jeshi la polisi Mtwara ikiwemo na kuwakamata vijana 11 ambao wanadaiwa walikua wakifanya mazoezi ya kije...


CD zilizokamatwa na askari wa jeshi la polisi Mtwara ikiwemo na kuwakamata vijana 11 ambao wanadaiwa walikua wakifanya mazoezi ya kijeshi waliyokua wakijifunza kutoka kwenye CD za magaidi zilizokua na mafunzo kutoka kwa makundi ya Al Shabaab na Al Qaeda.


TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOANI MTWARA HII HAPA:



Related

HAYA NDIO MAJIBU YA DKT. KITILA MKUMBO NA ZITTO KABWE BAADA YA KUONDOLEWA KATIKA UONGOZI NDANI YA CHADEMA

1. Katika kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kilichofanyika tarehe 20-22 Novemba 2013, pamoja na mambo mengine, kulijadiliwa waraka wa siri unaojulikana kama Mkakati wa Mabadiliko 2013.  ...

WANANDOA WASHAURIWA KUTATUA MATATIZO YAO KWA MAZUNGUMZO; SOMA TAARIFA HII KUTOKA MKOANI MBEYA

   “PRESS RELEASE” TAREHE  22. 11. 2013.  WILAYA YA MBARALI – MAUAJI. MNAMO TAREHE 21.11.2013 MAJIRA YA SAA 07:00HRS HUKO KATIKA KIJIJI CHA MAHANGO, KATA YA   ...

PRO. BAREGU AKANUSHA KUJIUZULU NAFASI ZA UONGOZI NDANI YA CHADEMA

Mjumbe wa tume ya mabadiliko ya Katiba kutoka chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) Prof. Mwesiga Baregu amekanusha taarifa za kujiuzulu nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA zilizozagaa kwenye...


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904878
item