TASWIRA MBALIMBALI ZA UZINDUZI TAWI LA CCM KIJITONYAMA DAR ES SALAAM

  Mbunge wa Kinondoni Mh. Idd Azan (katikati) akiwa na wenzake  wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoani Dar es Salaam, Ndugu Ramad...

  Mbunge wa Kinondoni Mh. Idd Azan (katikati) akiwa na wenzake  wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoani Dar es Salaam, Ndugu Ramadhan R. Madabida na kulia ni mwenyekiti wa CCM Kinondoni ndugu Josephine A. Mwanga walipokuwa kwenye ufunguzi wa matawi ya CCM.

  Mbunge wa Kinondoni Mh. Idd Azan (kushoto) akiongea na Diwani wa Kigogo, Ndugu Richard Chengula


Mbunge wa Kinondoni Mh. Idd Azan akiwahutubia wananchi

Mbunge wa Donge, Zanzibar na Mwenyekiti wa UVCCM Tanzania ndugu Sadifa Juma Khamis akuwahutubia wananchi

Meya wa manispaa ya Kinondoni Ndugu Yusuph Mwenda akuwahutubia wananchi wakatiwa ufunguzi


Baadhi ya wananchi waliofika kwenye mkutano wa ufunguzi wa matawi

Wadau wakisikiliza hotuba

Wananchi wakisikiliza viongozi kwenye mkutano huo

PICTURE SOURCE: PAMOJA BLOG

Related

OTHER NEWS 2668374874871114073

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item