ZIARA YA WAZIRI MKUU NA UJUMBE WAKE NCHINI CHINA KATKA PICHA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipewa mauwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndegea wa Shenzhen  akitokea Beijing  akiwa katika ziara y...

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipewa mauwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndegea wa Shenzhen  akitokea Beijing  akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza baada ya kutembeleaSheko Container Teminal mjini Shenshen akiwa katika ziara  ya kikazi nchini China.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana  na Watanzania baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa mjini Beijing akiwa katika ziara  ya kikazi nchini China

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana  na Watanzania baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa mjini Beijing

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania kwenye ubalozi  wao mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Chini, Luteni Jenerali Mstaafu, Abdulrahmani Shimbo. 

Baadhi ya watanzania wakimsikiliza Waziri Mkuu Mizengo Pinda wkati alipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Beijing

Watanzania wakimsikiliza Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao.

(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Related

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA UZINDUZI WA LIFT YA KWANZA MKOANI MBEYA

 Lift ikiwa imezinduliwa rasmi kwa ajili ya matumizi  Mdau Geofrey Ananiah akiwa kwenye uzinduzi huo  Baadhi ya wageni waalikwa wakiingia kwenye Lift kwa ajili ya uzinduzi ...

MFANYABIASHARA WA MADINI AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI KICHWANI

 Richard Lucas (29 enzi za uhai wake Mfanyabiashara wa madini, Richard Lucas (29) anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti. Kamanda wa Polis...

AJALI MBAYA YA ROLI LA VINYWAJI MKOANI RUVUMA

 Ajali hii imetokea  lililopita maeneo ya Msamala katika manispaa ya Songea...kwa mujibu wa taarifa hakuna mtu aliyefariki zaidi ya kupata majeraha madogo madogo. Chanzo cha ajali hak...


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904759
item