BREAKING NEWS!!!!!!! LOWASA ANUSURIKA KIFO

Edward Lowassa Waziri Mkuu aliyejiudhuru Edward Lowassa amenusurika kifo baada ya ndege ya Precision kupasuka matairi yote 4 wakati i...


Edward Lowassa

Waziri Mkuu aliyejiudhuru Edward Lowassa amenusurika kifo baada ya ndege ya Precision kupasuka matairi yote 4 wakati ikitua Arusha mchana huu, pamoja na abiria kupata mstuko polisi wamesisitiza hakuna majeruhi. Ndege hiyo ilibeba abiria 37 akiwemo Lowassa na maafisa wa JWTZ.

Related

OTHER NEWS 540295444574252263

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

item