WATU 6 WAFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI MKOANI KILIMANJARO

Wananchi wakijaribu kufukua udongo ili kuopoa  miili ya watu  walofukiwa na kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumwani wilaya  ya M...

Wananchi wakijaribu kufukua udongo ili kuopoa  miili ya watu walofukiwa na kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumwani wilaya ya Moshi vijijini huku wananchi wengine wakishuhudia

Uongozi wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu
hao.

Mmoja ya mwili wa mmoja kati ya watu sita waliokufa kwa kufunikwa na kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumuani wilaya ya Moshi vijijini.

Sehemu ya eneo la tukio

Uongozi wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu hao.

Juhudi za kuokoa waliofukiwa zikiendelea

Gari aina ya fuso lenye namba za usajili T 167 AQG ambalo marehemu wa tukio hilo walikuwa wakijaza Moramu likiwa limeangukiwa na ngema iliyokatika na kusababisha vifo vya watu sita.

 Miili ya baadhi ya watu waliofunikwa na kifusi ikiwa inafanyiwa utaratibu wa kwenda kuhifadhiwa

 Miili ya baadhi ya watu waliofunikwa na kifusi ikiwa inafanyiwa utaratibu wa kwenda kuhifadhiwa.

Miili ya baadhi ya watu waliofunikwa na kifusi ikiwa inafanyiwa utaratibu wa kwenda kuhifadhiwa.

Huduma ya kwanza kwa majeruhi


Greda ya manispaa ikijaribu kubeba gari lililoangukiwa na ngema ili zoezi la uopoaji miiili  uendelee kwa urahisi.


 Moja ya miili iliyofukiwa


Miili ya  marehemu waliofukiwa na kifusi ikitolewa katika udongo baada ya kazi ya zaidi ya saa 5 ya kufukua eneo hilo kumalizika..

Credit: Michuzi

Related

OTHER NEWS 8415694845400391873

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item