BREAKING NEWS!!!!!!! MOTO WATEKETEZA JENGO LA JANCO MOTEL JIJINI MBEYA USIKU HUU

Moto mkali umezuka katika jengo la Janco Motel lililopo Forest Mpya, Mbeya usiku huu. Hadi sasa Zimamoto hawajafanikiwa kuudhibiti, jeng...


Moto mkali umezuka katika jengo la Janco Motel lililopo Forest Mpya, Mbeya usiku huu. Hadi sasa Zimamoto hawajafanikiwa kuudhibiti, jengo linateketea. Habari zaidi zitafuata.

Related

METRO COACH LAPATA AJALI

Basi la Metro Coach lenye namba za usajili T129 AQL limegongana na Fuso lenye namba T615 ABW huko  Moshi vijijini jana jioni. Dereva wa basi hilo amefariki dunia na watu wengine 6 wamejeruhiwa.

MKUTANO WA TFF WAPITISHA MAREKEBISHO YA KATIBA, WAKATI HUO HUO TAIFA STARS IKITOKA PATUPU MBELE YA UGANDA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Julai 13, 2013 MKUTANO TFF WAPITISHA MAREKEBISHO YA KATIBA Mkutano Mkuu Maalumu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) uliofanyika leo (Julai 13 mwaka huu) ume...

PICHA MBALIMBALI KUTOKA MKUTANO MKUU WA TFF LEO

RAIS WA TFF LEODIGER TENGA AKIHUTUBIA MKUTANO MJUMBE WA FIFA JAMES JOHNSON AKIONGEA WAJUMBE WA MKUTANO WA TFF AFISA WA FIFA JAMES JOHNSON AKIWA NA KATIBU MKUU WA TFF ANGETILE ...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904754
item