TASWIRA YA MBALIMBALI NYUMBANI KWA MAREHEMU DR MGIMWA ALIPOZALIWA

  Hapa  ndipo  nyumbani  alipozaliwa na alipokuwa akiishi  aliyekuwa  waziri  wa fedha na mbunge wa  jimbo la Kalenga Dr Wiliam Mgimwa...

 Hapa  ndipo  nyumbani  alipozaliwa na alipokuwa akiishi  aliyekuwa  waziri  wa fedha na mbunge wa  jimbo la Kalenga Dr Wiliam Mgimwa na ndipo atazikwa hapa

 Hii ndio nyumba ya  waziri wa fedha  Dr Wiliam Mgimwa  iliyopo jimboni Kalenga ambako ndipo alipozaliwa ikiwa na bendera   ikipepea  nusu mlingoti

 Hii  ni  nyumba anayoishi mama yake  ambayo  ipo  jirani na yake


Wanachama wa CCM wakibadilisha  bendera  nyumbani kwa aliyekuwa waziri wa fedha  jioni ya  leo .usikose  kujua habari  zaidi baadae juu ya maisha ya  waziri Dr Mgimwa.


Angalia hapa picha hapa chini  Sehemu atakapozikwa marehemu dk William Mgimwa kijijini Magunga.

 Katibu wa mbunge Dr Wiliam Mgimwa Bw Martine Simangwa akiwaonyesha viongozi  wa  CCM eneo ambalo waziri Mgimwa atazikwa  katika  kijiji  cha Magunga kata  ya Maboga  jimbo la Kalenga. 

 

Related

HOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA, JAJI JOSEPH S. WARIOBA, KATIKA MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU UZINDUZI WA RASIMU YA KATIBA TAREHE 03 JUNI, 2013 KWENYE VIWANJA VYA UKUMBI WA KARIMJEE, DAR ES SALAAM

Mhe. Dkt Mohammed Gharib Bilali – Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano,  Mhe. Mizengo K. P. Pinda (Mb.) - Waziri Mkuu, Mhe. Seif Sharif Hamad – Makamu wa Kwanza wa Rais – Serikali ya M...

TAMASHA LA UZINDUZI WA ALBAM YA NYIMBO ZA INJILI YA MWIMBAJI NINGILE MWAKATAGE ULIOFANYIKA JANA TAREHE 02/06/2013 UKUMBI WA URAFIKI ULIOPO UBUNGO SHEKILANGO

Mgeni Rasmi kushoto na Mama Asha Baraka wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa albam hiyo Jana siku ya jumapili mwimbaji wa injili anayekuja kwa kasi alizindua albam yake iliyobeba jina la "MWANAMBU...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904775
item