Nafasi za Kazi - Maofisa uingizaji taarifa ( Data Entry Clerk): Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa

MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA INATANGAZA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA KWA MAOFISA UINGIZAJI TAARIFA AMBAO WATAFANYA KAZI ZA USAJILI KWA...


MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA INATANGAZA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA KWA MAOFISA UINGIZAJI TAARIFA AMBAO WATAFANYA KAZI ZA USAJILI KWA KUZINGATIA KANUNI NA TARATIBU ZA AJIRA ZA MAMLAKA. MUOMBAJI AWE TAYARI KUFANYAKAZI UNGUJA NA PEMBA.

SIFA

-AWE NA CHETI CHA KUZALIWA
-AWE NA UMRI USIOZIDI MIAKA 35
-ASIWE MUAJIRIWA WA SMZ AU SMT
-AWE NA ELIMU YA CHETI AU STASHAHADA (DIPLOMA) KATIKA FANI YA UTAWALA/UONGOZI, SOCIOLOGIY, DEMOGRAPH, IT, COMPUTER SCIENCE, RECORD MANAGEMENT, MASS COMUNICATION/JOUNALISM NA PROCUREMENT  KUTOKA KATIKA VYUO VINAVYOTAMBULIKA NA


-AWE NA UWEZO WA KUCHAPA MANENO 30 KWA DAKIKA
-MWENYE UJUZI NA MZOEFU WA KUTUMIA COMPYUTA ATAPEWA KIPAUMBELE

BARUA ZA MAOMBI ZIAMBATANISHWE NA

-CV, PICHA 2 ZA PASPORT, PAMOJA NA VIVULI VYA VYETI.
-MAMLAKA ITAPOKEA MAOMBI 150
 

ANUANI
MAOMBI YOTE YATUMWE KWA NJIA YA POSTA AU KWA MKONO KWA ANUANI IFUATAYO:
 

MKURUGENZI
MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA
S.L.P 913
ZANZIBAR


MWISHO WA KUWASILISHA MAOMBI NI TAREHE 13/01/2014


MAWASILIANO YA EMAIL NA SIMU HAYARUHUSIWI
AHSANTENI

Related

KAZI 7512646930040144046

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item