RAIS JAKAYA KIKWETE AWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA

  Waziri Mpya wa Katiba na Sheria Dk. Asha-Rose Migiro akila kiapo mbele ya Rais Jakaya Kikwete   Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha ...

 Waziri Mpya wa Katiba na Sheria Dk. Asha-Rose Migiro akila kiapo mbele ya Rais Jakaya Kikwete
 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mwigulu Nchemba, kuwa Naibu Waziri wa Fedha, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
 Naibu Waziri mpya wa Elimu, Jenister Muhagama akila kiapo.
 Waziri mpya wa Fedha Bibi.Saada Mkuya akila kiapo
 Naibu Waziri Mpya wa Habari, Utamaduni na Michezo Juma Nkamia akila kiapo.
  Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Adam Malima, kuwa Naibu Waziri wa Fedha

Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Dkt. Pindi Chana, kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.





 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Charles Kitwange, kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini
 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Amos Makala, kuwa Naibu Waziri wa Maji
 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mahmoud Mgimwa, kuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii
  Wageni waalikwa
 Wageni waalikwa
 Rais Kikwete akiwa na mawaziri wapya
Rais Jakaya Kikwe akiwa katika picha ya pamoja na Baraza jipya la Mawaziri

Related

OTHER NEWS 5315217149530180331

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item