WATU 10 WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO HUKU WENGINE 28 WAKIWA KATIKA HALI MBAYA NI BAADA YA BASI KUPATA AJALI MKOANI LINDI
Baadhi ya miili ya watu waliopoteza maisha katika ajali hiyo wakiwa mtaroni.. Kwakweli inasikitisha sana, hiyo ikiwa ni ajali mba...
Chanzo cha ajali hilo ni baada ya Basi hilo kugongana na lori la mizigo wakati basi hilo likitokea Dar kuelekea Mtwara ma kupoteza mwelekeo na kupinduka mita kadhaa kutoka barabarani hali iliyochanganya na utelezi mkali kutokana na mvua kubwa iliyonjesha muda mchache kabla ya ajali.