MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA UHAMASISHAJI NA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA JIJINI MWANZA.

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa Kongamano l...

 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa Kongamano la siku tatu la Uwekezaji na Uhamasishaji Kanda ya Ziwa, lililoanza jana Feb 13, 2014, jijini Mwanza
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib 
Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Udhibiti wa Ubora wa kampuni ya Vic Fish, Jacob Maisele, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho katika Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa janaFeb 13, 2014 jijini Mwanza.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho katika Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa jana Feb 13, 2014 jijini Mwanza.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia jambo alipotembelea katika Banda la Mjasiliamali Donatha Swai, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho katika Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa.

PICHA NA OMR.

Related

OTHER NEWS 7671408126634353908

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item