MSIGWA AFIKISHWA MAHAKANI LEO

Mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mh. Peter Msigwa amefikishwa mahakamani asubuhi hii akihusishwa na vurugu zilizotokea jana jioni akihusis...

Mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mh. Peter Msigwa amefikishwa mahakamani asubuhi hii akihusishwa na vurugu zilizotokea jana jioni akihusishwa na uchochezi wakati wa kampeni za udiwani kata ya Nduli. Chini ni picha mbalimbali za tukio la kukamatwa kwake jana jioni na majeruhi wa vurugu hizo.

Polisi  Iringa  wakiyaongoza magari ya  CCM na Chadema ambalo  amepanda  mbunge Msigwa kuingia  kituo cha  polisi baada ya  kuibuka  vurugu kubwa jana

Mbunge wa Iringa mjini akiwa chini ya ulinzi wa polisi jana jioni baada ya kufikishwa kwenye kituo cha polisi mjini Iringa jana.

Polisi akiongoza gari la Mh. Msigwa


Makada wa CCm wakimsaidia kijana Salum aliyejeruhiwa jana jioni kufuatia vurugu hizo
 


Picture credits: Emmanuel Shilatu Blog

Related

OTHER NEWS 6784044049811577182

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item