CCM YAZINDUA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE, KINANA, MAMA SALMA KIKWETE WAMNADI RIDHIWANI

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya CCm katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani...

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya CCm katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete katika uzinduzi wa kampeni za CCM kuwania jimbo hilo jana.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Mgombea wa CCM katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete wakipunga mikono baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Miembe saba, kwa ajili ya mkutano wa kufungua kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa jimbo hilo.
Wananchi wakimshangilia Ridhiwani baada ya kuwasili kwenye Uwanja huo.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo wakati akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kuzindua kampeni za CCM uliofanyika jana (19/03/2014) kwenye Uwanja wa Miembe saba, Chalinze mkoa wa Pwani.
Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiomba kura wakati akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kuzindua kampeni za CCM uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Miembe saba, Chalinze mkoa wa Pwani.
 Mjumbe wa NEC ya CCM kutoka wilaya ya Lindi, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (kushoto) akiwa na wananchi wengine kumshangilia mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CCm katika jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete wakati wa mkutano wa kufungua kampeni za CCM uliofanyika jana tarehe 19/03/2014
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza wakati wa mkutano huo wa kampeni
Ridhiwani akidhihirisha furaha yake baada ya mkutano wake wa kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze kufiurika watu. Wengine kulia ni Mama Salma Kikwete na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana

  Nape na Ridhiwani wakiselebuka wakati wa burudani iliyotolewa na msanii Linex  jukwaani

  Ridhiwani akiwaaga mashabiki kabla ya kushuka jukwaa la wasanii

  Mbunge wa simanjiro Ole Sendeka akimuombea kura Ridhiwani
  Khadija Kopa akitumbuiza na kundi zima la TOT wakati wa mkutabo huo wa kampeni

Related

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATOA POLE YA MSIBA WA PROFESSA KIVASI NYUMBANI KWA MAREHEMU

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Professa R...

TAMASHA KUBWA LA KARIBU MUSIC FESTIVAL KUFANYIKA BAGAMOYO

 Meneja wa tamasha la Karibu Music Festival, Richard Lupia akizungumza katika mkutano na waandishi wa Habari Dar es Salaam hii leo juu ya maandalizi ya tamasha hilo.  Meneja wa tama...

POLISI WACHANA BANGO LA WALIMU LINALOHOJI POSHO ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Na Phinias Bashaya, Mwananchi Maandamano ya walimu kuingia katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani, jana yalipata mtafaruku baada ya polisi kuyaingilia na kuch...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904746
item