RAIS KIKWETE APOKEA RIPOTI YA MGAWANYIKO WA WATU KWA UMRI NA JINSI IKULU, DAR ES SALAAM

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea toka kwa   Kamishna wa Sensa Hajjat Amina Mrisho  Ripoti ya Mgawanyo wa Watu kwa Umri na Jinsia...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea toka kwa Kamishna wa Sensa Hajjat Amina Mrisho Ripoti ya Mgawanyo wa Watu kwa Umri na Jinsia kwa data za sensa ya watu na makazi mwaka 2012 jana Machi 13, 2014   Ikulu jijini Dar es salaam PICHA NA IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na  Kamishna wa Sensa Hajjat Amina Mrisho (kushoto) na  Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa  baada ya kupokea Ripoti ya Mgawanyo wa Watu kwa Umri na Jinsia kwa data za sensa ya watu na makazi mwaka 2012 jana Machi 13, 2014   Ikulu jijini Dar es salaa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu DktAlbina Chuwa ambaye pamoja na Kamishna wa Sensa Hajjat Amina Mrisho baada ya kupokea Ripoti ya Mgawanyo wa Watu kwa Umri na Jinsia kwa data za sensa ya watu na makazi mwaka 2012 jana Machi 13, 2014   Ikulu jijini Dar es salaam

Related

OTHER NEWS 4926600551666760240

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item