TAZAMA PICHA: NYUMBA ZA JESHI LA POLISI ZILIVYOTEKETEA KWA MOTO TANGA
Nyumba za Askari wa jeshi la polisi zilizopo eneo la chumbageni nyuma ya kituo kikuu cha polisi cha chumbani jijini Tanga zaliung...
https://gabriellabridalsolution.blogspot.com/2014/03/tazama-picha-nyumba-za-jeshi-la-polisi.html
Nyumba za Askari wa jeshi la polisi zilizopo eneo la chumbageni
nyuma ya kituo kikuu cha polisi cha chumbani jijini Tanga zaliungua moto.
Mh.Halima Dendegu akishuhudia ajali ya moto katika nyumba za polisi chumbageni,jijini Tanga
Mkuu wa wilaya ya Tanga Mh.Halima Dendegu alipoiwasili katika eneo la ajali.
Baadhi ya vitu vilivyookolewa katika ajali ya moto.
Wananchi wakishuhudia na kusaidia vikosi vya zimamoto katika uzimaji moto huo.
Picha kwa hisani ya kibonajoro