TASWIRA ZA DARAJA LINALOTENGENISHA DAR NA BAGAMOYO LILILOVUNJIKA KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA
Sehemu ya daraja iliyoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam Tunapitaje hapa leo.............. ...
https://gabriellabridalsolution.blogspot.com/2014/04/taswira-za-daraja-linalotengenisha-dar.html
Sehemu ya daraja iliyoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam
Tunapitaje hapa leo..............
Wananchi wakishangaa tukio hilo
Daraja linalotengenisha Dar es salaam na
Bagamoyo lililopo maeneo ya Bunju B limevunjika na kufanya kutokuwepo
mawasiliano kati ya Dar na Bagamoyo, wananchi wameshauriwa kutumia barabara ya Morogoro ili kuweza kuingia na kutoka Bagamoyo.