FAHAMU KUHUSU HOMA YA DENGUE

Homa ya Dengue ni ugonjwa unaoenezwa kwa kuumwa na mbu aina ya Aedes mwenye virus vya ugonjwa huu. Mbu hupata virusi vya homa ya De...



Homa ya Dengue ni ugonjwa unaoenezwa kwa kuumwa na mbu aina ya Aedes mwenye virus vya ugonjwa huu. Mbu hupata virusi vya homa ya Dengue anapomuuma mtu mwenye ugonjwa huu.
Ugonjwa huu unaenezwa kutoka mtu mmoja kwenda mwingine kwa kuumwa na mbu huyu.
 
DALILI:
Homa kali ya ghafla
Kuumwa kichwa hususani sehemu za machoni
Maumivu makali ya viungo na misuli ya mwili
Kichefuchefu au kutapika
Kutokwa na damu kwenye fizi, na sehemu za uwazi za mwili.
Uchovu
ukimsikia ndugu au jamaa yako anasema kuwa na dalili hizi muwahishe hospitali mapema. 

Related

Wizara ya Nishati, Kilimo waanza kuhamia Dodoma

KATIKA kutekeleza agizo la Rais John Magufuli la kutaka serikali kuhamia Dodoma, Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk Charles Tizeba amesema watendaji wa wizara hiyo wataanza kuhamia Dodoma kuanz...

KENYA AIRWAYS YATANGAZA HASARA KUBWA

Shirika la ndege la Kenya Airways (KQ) limetangaza hasara kubwa ya Shilingi bilioni 25.7 za Kenya sawa na dola milioni 2.57 katika kipindi cha fedha cha mwaka wa 2014-2015. Hii ni hasara ya ...

Chama cha Wanawake Wanasheria Tanzania (TAWLA) chazindua sherehe za maadhimisho ya miaka 25 tangu kianzishwe

 Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Chama cha Wanawake Wanasheria  Tanzania (TAWLA),  Margareth Ringo (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo ...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904746
item