AJALI YAUA ENEO LA MAKONGO SEKONDARI DAR LEO

  Daladala hiyo inavyoonekana mara baada ya ajali   Baadhi ya miili ya marehemu. Baadhi ya miili ikiwa kwenye gari ...


 Daladala hiyo inavyoonekana mara baada ya ajali



 Baadhi ya miili ya marehemu.

Baadhi ya miili ikiwa kwenye gari Hospitali ya Lugalo.
Ndugu wakilia kwa uchungu baada ya kutambua miili ya ndugu zao.
Madaktari wa Hospitali ya Lugalo wakiendelea kuwahudumia majeruhi.


Gari aina ya Toyota Coaster inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam imepata ajali mbaya leo mchana baada ya kugongana na gari lingine na kusababisha vifo vya watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 18 katika eneo la Makongo Sekondari jijini Dar.

Tunatoa pole kwa ndugu na jamaaa wa marehemu wote walioondoka katika ajali hii, Mungu awaponye majeruhi wote ili warudi katika shughuli zao za kila siku.

Related

OTHER NEWS 4548027739421699335

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item