FILIPPO IZAGHI NDIYE KOCHA MPYA WA AC MILLAN

Filipo Inzaghi ameteuliwa kocha mpya wa AC Milan na kuchukua pahala pa Clarence Seedof  AC Milan imemfuta kazi mkufunzi wake Claren...

Filipo Inzaghi ameteuliwa kocha mpya wa AC Milan na kuchukua pahala pa Clarence Seedof 

AC Milan imemfuta kazi mkufunzi wake Clarence Seedof baada ya kuhudumu kwa chini ya miezi 5 na kumtangaza Filipo Inzaghi kama kocha mpya.

Seedof mwenye umri wa miaka 38 alikuwa amechukua nafasi yake Massimiliano Allegri mwezi Januari, wakati timu hiyo ilikuwa katika nafasi ya 11 katika ligi kuu ya Italia Serie A na alama 30 nyuma ya viongozi wa wakati huo Juventus, ambao walishinda taji hilo mwisho wa msimu.

Hata hivyo, mholanzi huyo alishindwa kubadili mkondo na msururu wa matokeo duni uliendelea hadi mwisho wa msimu timu hiyo ilipomaliza ikiwa na alama 45 nyuma ya mabingwa msimu huu Juventus.

Related

OTHER NEWS 7190257037539297896

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

item