MAMIA WAJITOKEZA KWENYE MAZISHI YA MSANII MKONGWE WA MAIGIZO NCHINI SAID NGAMBA (MZEE SMALL) YALIYOFANYIKA KATIKA MAKABURI YA SEGEREA DAR ES SALAAM

  Watu mbalimbali wakisubiri Mwili wa Marehemu kuwasili katika makaburi ya Segerea   Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF)...


 Watu mbalimbali wakisubiri Mwili wa Marehemu kuwasili katika makaburi ya Segerea
 Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifamba akiwasilika katika eneo la Makaburi ya Segerea



 Msafara wa magari na waendesha Bodaboda wakiwa katika barabara ya Segerea Kinyerezi wakati wakielekea Makaburi ya Segerea kwaajili ya Kumpumzisha Kwa Amani Mkongwe wa Sanaa ya Vichekesho Nchini Said Ngamba almaarufu Mzee Small
 Gari lililobeba Mwili wa Marehemu Said Ngamba aka Mzee Small (la kwanza) likiwa limesimama kwaajili ya Vijana kuubeba Mwili wake hadi kwenye Makaburi ya Segerea
 Vijana wakishusha jeneza lenye mwili wa Marehemu Mzee Small kwaajili ya kuelekea kwenye Makaburi ya Segerea

 Vijana wakiwa wamepanga mstari kuanzia Barabara ya Segerea Kinyerezi hadi makaburini kwaajili ya kupokea jeneza lenye Mwili wa Marehemu Mzee Smal






 Mwili wa Marehemu Mzee Small ukitolewa kwenye jeneza tayari kupumzishwa katika Nyumba yake ya Milele katika makaburi ya Segerea.










Picha Zote na Josephat Lukaza - Lukaza Blog.

Related

OTHER NEWS 3485554845376322711

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

item