AJALI KIBAIGWA

  Gari aina ya RAV4 ikiwa chali baada ya Kupata ajali mbaya Maeneo ya Kibaigwa ukiwa uanelekea Mkoani Dodoma   Mh:Mwigulu Nchemba ak...

 Gari aina ya RAV4 ikiwa chali baada ya Kupata ajali mbaya Maeneo ya Kibaigwa ukiwa uanelekea Mkoani Dodoma
 Mh:Mwigulu Nchemba akisaidia kuokoa Majeruhi kwa Kuinua gari.

 Gari aina ya RAV4 ikiwa imeshainuliwa tayari na Majeruhi wametoka walikuwa wawili

Huyu ndiye alikuwa Dreva wa gari hii iliyopata ajali,amepata Michubuko kidogo.


Ajali ndogo Imetokea maeneo ya Kibaigwa ikihusisha gari aina ya RAV4 iliyokuwa ikitokea mkoani Morogoro kwenda Dodoma, ajali hiyo mbayo haijasababisha Kifo chochote imetokea majira ya Mchana wa Tar.08/06/2014 na Sababu ya ajali inatajwa kuwa ni Mwendo kasi wa Dreva na hatimaye Gari Kumshinda na kupinduka.
 
Katika hali ya Kuonesha Ubinadamu na Utu kwa watu wengine, Mh:Mwigulu Nchemba aliyekuwa akitoka Dodoma kuelekea Morogoro kwenye Mkutano alilazimika Kusimama kwa Muda kwenye ajali hiyo kwaajili ya Kutoka Huduma ya Kwanza kwa Majeruhi kama anavyoonekana Pichani hapo Juu.Jambo hilo liliwafurahisha sana Wananchi waliokuwa eneo la ajali na waliomba Viongozi wengine waige tabia hii ya Mwigulu Nchemba ya Kushirikiana na Wananchi wakati wa Shida husuasani wanapoona ajali barabarani,Ugonjwa,Misiba n.k wajitahidi kutoa Ushirikiano.
Picha/Maelezo na Sanga Jr

Related

MEMBE, TULIKAANGWA, TULIULIZWA MASWALI MAGUMU URAIS 2015

Dodoma. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe amesema aliulizwa maswali mazito na Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bar...

IGP MSTAAFU SAID MWEMA AAGWA RASMI LEO JIJINI DAR

Mstaafu, Said Mwema akipokea Salaam ya heshima na utii iliyotolewa na Gwaride Maalum lililoandaliwa na Maafisa na Askari wa Jeshi la Polisi(hawapo pichani) katika hafla fupi ya kumuaga rasmi ku...

WASSIRA, MAKAMBA WALIPOHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI CCM

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu ) Ndugu Stephen Wassira akitoka nje ya ukumbi wa White House baada ya kumaliza mahojiano na Kamati Ndogo ya Maadili.  Waziri wa Nchi ...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

item