MH. LOWASSA AMJULIA HALI SHEIKH MKUU WA DODOMA

Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akizungumza na sheikh mkuu mkoa wa Dodoma, sheikh Adam Zubeir wakati alipo...

Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akizungumza na sheikh mkuu mkoa wa Dodoma, sheikh Adam Zubeir wakati alipokwenda kumjulia hali,  nyumbani kwake Kikuyu Flats.

Sheikh Zubeir amekuwa akisumbuliwa na maradhi na alipelekwa India kwa matibabu hivi karibuni

Related

OTHER NEWS 6502306847056088091

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item