MSAADA UNAHITAJIKA KWA BINTI HUYU
"Hujafa haujambika, mwenzetu amepatwa na huo mtihani mirija ya kusambaza maji mwilin imeziba anatakiwa kwenda India kwa matibabu ...
https://gabriellabridalsolution.blogspot.com/2014/06/msaada-unahitajika-kwa-binti-huyu.html
"Hujafa haujambika, mwenzetu
amepatwa na huo mtihani mirija ya kusambaza maji mwilin imeziba
anatakiwa kwenda India kwa matibabu na gharama zake ni milion 35 za
kitanzania. Zuhura amesoma Muhimbili primary school na kumaliza la saba
2000. Kwa nafasi yako, huruma yako na kwa hicho kidogo Mungu
alichokujaali anaomba msaada wako. Alishawahi kijitangaza siku za nyuma
ila hakufanikiwa kupata mfadhili wala hiyo hela ya matibabu. Nina imani
tutaweza na atapona tu. Anaitwa Zuhura Juma wasiliana nae kwa
0717
319555."