RAIS ATEUA NAIBU MABALOZI

  Bw. Robert Kahendaguza   Bw. Msafiri Marwa UTEUZI WA NAIBU MABALOZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya...

 Bw. Robert Kahendaguza
 Bw. Msafiri Marwa


UTEUZI WA NAIBU MABALOZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Naibu Mabalozi wawili.
Walioteuliwa ni Bw. Robert Kahendaguza  anayekuwa Naibu Balozi, Ubalozi wa Kudumu kwenye Ofisi za Umoja wa Mataifa, Geneva, Uswisi, na Bw. Msafiri Marwa  anayekuwa Naibu Balozi wa Tanzania London, Uingereza.
Kabla ya uteuzi huu, Bw. Kahendaguza alikuwa Kaimu Mkurugenzi, Idara ya Ushirikiano wa Kikanda, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Bw. Marwa alikuwa Ofisa Mambo ya Nje Mkuu.
Uteuzi huu unaanza tarehe 25 Mei, 2014.
IMETOLEWA NA:
KATIBU MKUU
WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA,
DAR ES SALAAM
JUNI 11, 2014

Related

AJALI MBIO ZA MWENGE DODOMA

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema, watu 3 wamejeruhiwa baada ya magari yaliyokuwa katika msafara wa mbio za mwenge kupata ajaliwilayani Chamwino mkoani Dodoma leo.Hakuna vifo vilivyoripotiwa h...

HALI ILIVYOKUWA KWENYE MAANDAMANO YA CHADEMA JIJINI MWANZA

MAANDAMANO ya amani yaliyokuwa yameandaliwa na chama cha demokrasia na maendeleo(chadema) yamegeuka shubiri kwa wakazi wa jiji la Mwanza baada ya kuibuka mapamba...

WALIOPANDA MBEGU DECI SASA KURUDISHIWA

Viongozi wa DECI Arbogast Kipilimba, Jackson Mtares, Samwel Mtares, Dominick Kigedi na Timotheo Saiguran ole Loiting’ye, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashta...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904754
item