TAARIFA MPYA TOKA OFISI YA LOWASSA

Kumeendelea kujitokeza vikundi mbalimbali vinavyojinasibisha na Mh Edward Lowassa, miongoni mwao ni kile kinachojiita Muungano wa Ma...


Kumeendelea kujitokeza vikundi mbalimbali vinavyojinasibisha na Mh Edward Lowassa, miongoni mwao ni kile kinachojiita Muungano wa Marafikiwa Mh Edward Lowassa Wasio na Mipaka(MELOWAMI). Muunganno  huu umetoa taarifa katika mitandao ya kijamii ukiishutumu kamati ya maadili ya CCM kuwa inamfanyia hujuma Mh Lowassa. Kwa mara nyingine tena ofisi ya Mh Lowassa inakanusha kuhusika kwa namna yoyote ile na taarifa za kikundi hicho na vingine vitakavyotoa.
 
Imetolewa na ofisi na Mh Lowassa(mbunge)

Related

TUJUZANE 550101869647009062

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item