ZAIDI YA WATANZANI 50 KUNYONGWA NCHINI CHINA

Zaidi ya Watanzania 50 wamehukumiwa adhabu ya kifo nchini China baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na biashara ya dawa za ...



Zaidi ya Watanzania 50 wamehukumiwa adhabu ya kifo nchini China baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya.

Idadi hiyo ni kati ya Watanzania 403 wanaoshikiliwa katika nchi mbalimbali wanaoshikiliwa kwa tuhuma hizo.

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,uratibu na Bunge nchini humo,William Lukuvi ametaja baadhi ya nchi ambazo Watanzania wanashikiliwa kuwa Kenya,Uganda, Botswana,Malawi,Msumbiji, China,Brazil,Marekani, Pakistani na Uturuki.

Serikali ya Tanzania imekamilisha muswada wa sheria ya dawa za kulevya ambao ikiwa utapitishwa bungeni utasaidia harakati za kupambana na biashara ya dawa za kulevya.

kwa mujibu wa Lukuvi, kuanzia mwezi Januari mpaka juni mwaka huu,kiasi cha kilo 220 za dawa za kulevya aina ya Heroine na watuhumiwa 18 walikamatwa pia kilo 15.4 za Cocaine zilikamatwa sambamba na watuhumiwa saba.

Related

ZITTO KABWE NJIA PANDA, CHADEMA WAMFUKUZA

Zitto Kabwe Dar es Salaam. Hali ya kisiasa ya mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe imewekwa njiapanda baada ya Chadema kutangaza kumvua uanachama saa chache baada ya Mahakama Kuu kutupilia...

HOTUBA YA RAIS JAKAYA KIKWETE YA MWISHO WA MWEZI WA FEBRUARI, 2015

Mheshimiwa Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. HOTUBA YA MWISHO WA MWEZI FEBRUARI, 2015, YA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, ILIYOTOLEWA TAREHE 1...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904728
item