WANAFUNZI 54,085 WACHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2014
Naibu Waziri Tamisemi, Kassim Majaliwa Wanafunzi 54,085 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka huu wa 2014, taarifa hii ime...
https://gabriellabridalsolution.blogspot.com/2014/06/wanafunzi-54085-wachaguliwa-kujiunga-na.html
Naibu Waziri Tamisemi, Kassim Majaliwa
Wanafunzi 54,085 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka huu wa 2014, taarifa hii imetangazwa na N/Waziri tamisemi (Elimu) Kassim Majaliwa leo. Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti tarehe 10 Julai, 2014.
Taarifa kamili ya waliochaguliwa itakujia hapa hapa, endelea kutembea blog hii.