MAJINA YA WALIOITWA KAZINI NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI

TANGAZO KUITWA KWENYE AJIRA NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI (ASSISTANT INSPECTOR OF IMMIGRATION) Katibu Mkuu Wizara ya Mambo...


TANGAZO KUITWA KWENYE AJIRA
NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI (ASSISTANT INSPECTOR OF IMMIGRATION)
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, anawatangazia wafuatao waliofaulu usaili wa kujaza nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji (Assistant Inspector of Immigration) wanatakiwa kuripoti Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji, Mtaa wa Loliondo Kurasini, Dar es Salaam tarehe 29 Julai 2014, saa 2:00 asubuhi. Aidha, wahusika wote wanaelekezwa kufika kwa wakati wakiwa na vyeti halisi vya masomo na vya kuzaliwa.
 
Na
JINA
Na
JINA
Na
JINA
1
Abel Md. Maganya
25
Felix  Mkemwa
48
Marco Zacharia
2
Absolum Stafford
26
Forget N. Charles
49
Maria Agapith
Bashigwa
3
Agnes P. Mlay
27
Frida  N.Masomhe
50
Mateso Msigala
4
Ali Musa Abdallah
28
Gabriel  M.
51
Meshack Mwaisela
Kamugisha
5
Angela Kagaruki
29
Gath  E.  Nyansambo
52
Michael John
6
Antony J. Nyagilo
30
Gerald Moses
53
Miriam Mwakamele
7
Asteria Kiyanga
31
Gideon Kihoko
54
Mlalama Fortinatus Amlima
8
Awadhi Issa
32
Godson  Mwanawima
55
Mussa Hemedi
9
Aziza Kaku
33
Grace C. Nyarata
56
Mwita Mwikwabe
10
Bakari M. Khamis
34
Hamza Sanga
57
Neema R. Mrope
11
Baraka Estomihi
35
Hassan A. Mziray
58
Nyangoma Martin
12
Beatrice K. John
36
Ibrahim Ally
59
Oscar Philip
13
Bernard  K. Mwampashe
37
Idd Mgoi
60
Pasaka Wilson
14
Binasra
J. Sabri
38
Joachim Joseph
61
Pastory Packshard
Mkongwa
15
Charles M. Swai
39
John G. Mgayambasa
62
Reagan H. Kawa
16
Cosmas  J. Mbuguni
40
Joseph Gregory
63
Rose Nseka
17
Dativa J. Ndyetabura
41
Kennedy John
64
Senga Ally
18
David  Muna
42
Khamis Moh'd Khamis
65
Silvia Ngasoma
19
Doroth  Ngai
43
Kombo M. Ame
66
Sixtus Stephano Burashahu
20
Dotto
Tabu
44
Kwame Charles
67
Steven L.  Kweka


21
Emmanuel Gelison
45
Lawi E. Kumburu
68
Wendy Y. Mwalukasa
22
Ezekiel
A.  Kibona
46
Mabrouk H. Thabit
69
Witness  Lwambo
23
Fahamu
Saidi
47
Mangunda A. Kaporo
70
Zulu  P.  Charles
24
Farida Sued
Aidha, ni muhimu kufahamu kuwa uchaguzi wa walioitwa kwenye ajira umezingatia yafuatayo:
·   Vipaumbele vya Idara ya Uhamiaji;
·   Kutoa nafasi kwa waombaji kutoka Zanzibar;
·   Ufaulu kuanzia alama 50 asilimia na kuendelea;
·   Jinsia
Wasailiwa ambao majina yao hayamo kwenye orodha hii wafahamu kuwa hawakufanikiwa. Atakayesoma tangazo hili amjulishe na mwenzake.
Tangazo hili limetolewa na:
Katibu Mkuu
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
4 Mtaa wa Ohio
11483 Dar es salaam
 

Related

KAZI 2990478880992915540

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item